Posts

Showing posts from September, 2017

JUA MAANA YA MAJINA KWA HERUFI YA KWANZA

A; Haraka, Pupa ya Maisha Wenye jina linaloanza na herufi ”A” ni Watu wanaopenda mambo makubwa, Wanajiamini, na wenye uwezo wa kutimiza malengo yao, Ni watu wenye tahadhari Katika kila jambo, Wachangamfu na wanaopenda Matukio. Wanapenda kuheshimiwa, Wanapenda mamlaka, Wana kiburi na ni Watu wenye hasira. B; Inawakilisha Kazi, Pesa, Mapenzi, Ujenzi. Wenye jina linaloanza na herufi “B” ni Watu Wakarimu , Waaminifu na Wenye kupenda kazi. Ni watu Jasiri, Shujaa na Wakatili katika vita au pale wanapotaka kulinda vyake au vilivyo katika himaya au Mamlaka yao. C; Inawakilisha Vurugu, Ndugu, Kuchanganyikiwa. Wenye jina linaloanza na herufi “C” ni Watu wa kubadilika badilika, Washindani, na hupenda kupigania Malengo yao wanayoyapenda. Ni watu Wabunifu, na wanaopenda Mawasiliano. D; Inawakilisha Upole, Kuchelewa, Wazee, Cheo. Wenye jina linaloanza na herufi “D” ni Watu wanaopenda Usawa, na Kufanya Biashara. Ni watu wanaopenda kuamrisha na wenye kupenda Usafi. Ni jeuri na wenye Msimamo. E; I...

FANYA YAFUATAYO KAMA COMPUTER YAKO IKO SLOW

Labda computer yako huchelewa sana kuwaka au kufungua mafaili. Au inaganda na kujiwasha upya pasipo sababu ya msingi unayoifahamu. Usihofu, mambo yafuatayo ni muhimu kwako kama unaijali computer yako. Unaweza pia kusoma computer bora kwa ajili yako na laptop bora za mwaka 2014. Nimeandaa hii kwa kuunganisha Windows 7 na 8, Windows 8 haina Start button hivyo tumia sana sehemu ya Search pembeni mwa screen yako. ZUIA PROGRAMU ZINAZOFUNGUKA PINDI UNAPOWASHA COMPUTER. Programu zote za computer zimetengenezwa katika njia ambayo huziwezesha kujifungua punde tu computer inapowashwa. Mara nyingi hautaweza kuziona kama zimeshafunguka kwa sababu zinajifungua nyuma ya pazia na bila wewe kujua. Utaona computer yako ikionesha tu kuwa iko busy. Programu hizi kwa kiasi kikubwa huchangia kuifanya computer yako itumie nafasi kubwa kuzihudumia. Zuia program usizozihitaji zifunguke kila mara unapowasha computer. Ili kufanya hivo; BONYEZA kwenye keyboard vitufe hivi kwa wakati mmoja Ctrl + Shift + Es...