![Image](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg57oPgmy4sKKM0P6vZjwTwveKZyRrmXWmNn_Zvd5O6C-snl6l6OZqvhL4BKVLVymLzU1vkwZtPjv-SF-H-FMtpVqFIs4u7DBhq86kKYo8BdTBql1v4RV9Yf82AmgEx9j66MvShm9IrNsLH/s320/FB_IMG_1537446966598.jpg)
Bondia Mtanzania kutokea Tanga Hassan Mwakinyo amemshinda muargentina Gonzelan kwa KO kunako round ya 5 pambano limefanyika jijini Nairobi ambalo lilkuwa sio la kugombania mkanda wowote Heshima kwa Wadigo na Watanznia kwa Ujumla Kesho ni TANZANIA VS UGANDA KUFUZU AFCON KILA LA HERI TANZANIA