FT' Taifa Stars 1 Amavubi 1 marudiano juma lijalo jijini Kigali Rwanda. Goli la Taifa Stars lilifungwa na Himidi Mao kwa mkwaju wa penati.
Hii ni kuwania kufuzu CHAN
*Zijue faida za kula vyakula vyenye vitamin C.* Kuna aina nyingi za vitamini na zote zina kazi mbalimbali katika miili yetu. Kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwepo kwa vitamini nyingine nyingi ambazo bado hatujazivumbua lakini ni muhimu kwa afya zetu. Tutaendele kuzitafuta kadri tutakavyo wezeshwa. Kabla ya kukufahamisha vyakula vitupatiavyo vitaminC ni vyema nikakujulisha angalau faida chache tuzipatazo kwa kuwa na vitamini C mwilini. Vitamini C husaidia mwili kutumia madini ya(Kalsiamu) chokaa na virutubisho vingine kujenga mifupa na mishipa ya damu. Bila ya kuwepo vitamini C inakuwa vigumu kwa mwili kutengeneza mifupa na mirija ya damu. Hii huwathiri sana watoto wadogo na hata walio matumboni (mimba) ambao hasa mifupa yao bado inakuwa. Uimara wa meno pia hupungua kwa kukosekana calcimu inayotumika kwa msaada wa vitamini C. Vilevile vitamini C husaidia mwili kufyonza madini ya chuma kutoka kwenye vyakula. Kuna vyakula vingine ambavyo vina madini ya chuma ambayo bila msaada wa...
Mwanaume 1 kati ya 3 wana matatizo ya nguvu za kiume – hii ni kulingana na utafiti uliofanyika. Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na mambo mengi ikiwemo ukosefu wa virutubisho muhimu mwilini. Ni jambo linaloweza kupata ufumbuzi kwa urahisi kama utazingatia kula vizuri na kufanya mazoezi. Ili kuongeza stamina kwenye mapenzi si lazima kutumia madawa makali kama viagra au vilevi vikali. Madawa na pombe hukupa nguvu zinazoisha kwa muda mfupi, lakini hukuletea madhara makubwa yatakayokuandama kwa muda mrefu zaidi. Ili kupata suluhishi la uhakika ni vizuri kuzingatia vyakula vinavyoweza kukuongezea stamina na kujenga mwili wako vizuri na kukupa uwezo wa kufanya mapenzi vizuri zaidi bila kutumia "booster". Vyakula ni suluhishi maridhawa na asilia kwenye kila kitu maishani mwako. Sababu za kukosa nguvu za kiume Ili kutatua tatizo ni muhimu kung’oa kabisa mzizi wake. Mwili wako una maarifa ya kujirekebisha pasipo kuhitaji vilevi au mawada, unachotakiwa kuzingatia ni chakul...
Ni siku nyingine ambapo tunakutana kwenye Ukurasa huu, hili tupate kujifunza yale matatizo yanayoikumba Kompyuta yako pamoja na mbinu au suluhisho la tatizo hilo. Kwa leo tutazungumzia tatizo liflifuatal 1. KOMPYUTA KUWA NZITO. (COMPUTER TO WORK SLOWLY/STUCKING). Hili limekuwa tatizo ambalo husababisha utendaji wa kazi wa Kompyuta yako kuwa mdogo au kuwa nzito sana na hata kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi. Yafuatayo ni mataizo/sababu kuu Duniani ambazo mpaka sasa yanafanya Kompyuta nyingi kuwa nzito(SLOWLY). (i) VIRUSI(VIRUSES) Virus ni “software” ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya kuharibu “software” nyingine ambazo zinakuwa kwenye mfumo wa utendaji wa Kompyuta. Yafuatayo ni madhara yasababishwayo na Virusi kwenye Kompyuta. (a) Kupotea kwa files/ taarifa kwenye Kompyuta., hapa kirusi kikishaingilia file kina uwezo wa kulifuta, kuficha, kutafuna au kuliondoa kabisa kwenye Kompyuta. (b) Kuharibu mfumo wa Utendaji wa Ko...
Comments
Post a Comment