KANUNI KUMI ZA UTUNZAJI SIMU ILI IDUMU

  1. Kamwe usitumie simu iwapo kwenye chaji system kwa sababu unasababisha simu ife mapema kutokana na umeme unaoingia na kani ya matumizi unayotumia ..hupelekea simu kuwa na moto sana
  2. Usizidishe zaidi magemu kwenye simu yako ikiwezekana achana na magemu kabisa kwa sababu internal uses inaongezeka otherwise RAM yako iwe na ukubwa kuanzia 2GB na kuendelea au acha game moja uwe na wakati maalumu wa kulicheza
  3. Usichaji simu zaidi ya 100% simu ikifika asilimia mia itoe kwa sababu unapelekea kuua betri OVERCHARGING
  4. Fanyia covering ya simu yako ili kuweza kuwa rafiki na mazingira endapo itadondoka isathiriwe sana
  5. Weka antivirus kwenye simu yako ili virus wasiingie kuharibu simu yako ...mfano virus cleaner na avast
  6. Usiweke application/faili nyingi kwenye simu kupita uwezo wa simu husikA utasababisha simu istack mda mwingi pia ishindwe kufanya kazi yake kiufasaha ...internal memory ianzie 8GB na kuendelea for anroid na nyingnezo
  7. Weka kitu kinaitwa Du speed booster kinapatikana kwenye playstore hii itakusiadia simu yako kurun faster bila matatizo na speed ya juu ila pia it depend with RAM available
  8. Badili betri la simu iwezekanavyo ..charging kila siku huwa inapelekea betri kufa na kusababisha mitambo mingne ya simu kufa pia so ukitumia sana simu jaribu kubadili betri yake
  9. Simu isipungue chaji chini ya 30% ndipo uchaji ianzie 30% kupanda juu mpaka 100% kutumia simu chaji ikiwa low betri inapelekea kufa mapema kwa simu yako
  10. yA MWISHO KAMWE USICHAJI SIMU DATA IKIWA ON AU KUCHAJI HUKU UNATUMIA INAFAA UZIME KABISA SIMU YAKO IKIFIKA ASILIMIA NYINGI NDIYO UANZE KUITUMIA ..kuchaji simu data zikiwa on kunapelekea simu kufa mapema pia joto kuongezeka kwenye simu some time kuzima ghafla bila taarifa

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA ZA VITAMIN C MWILINI

VYAKULA NA MATUNDA VINAVYOONGEZA NGUVU ZA KIUME

MATATIZO SUGU YA KOMPYUTA ,MBINU ZA KUONDOA TATIZO