MSUVA AITAJIRISHA YANGA

MSUVA AIPA MAMILIONI YANGA SC Saimoni Msuva avunja rekodi ya uhamisho kwa wachezaji wazawa kwenda nje . Rekodi ya awali ni dola 100,000 iliyoweka na Mbwana Samata toka Simba SC kwenda TP Mazembe. Msuva ametoka Yanga kwenda El Jadida kwa dola 160,000/- ni rekodi mpya kwa wazawa. Kwa wageni bado Emanuel Okwi ndio mchezaji aghali zaidi baada ya Simba SC kumuuza Etol du Sahel kwa dola 300,000/- Hii ina maana Yanga imevuna milioni 336,000,000 kwa kumuuz winga huyo 😋 CC: soka360

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA ZA VITAMIN C MWILINI

VYAKULA NA MATUNDA VINAVYOONGEZA NGUVU ZA KIUME

MATATIZO SUGU YA KOMPYUTA ,MBINU ZA KUONDOA TATIZO