Samatta Ajibu mapigo ya Rooney
Samatta aibeba Genk ikitoka sare na Everton
22nd July 2017
Mbwana Samatta ameibeba KRC Genk kwa kuifungia bao la kusawazisha latika mchezo wa kirafiki dhidi ya Everton uliomalizika kwa sare ya bao 1-1.
Samatta alifunga bao hilo kwenye dakika ya 55 akitumia uzembe wa walinzi wa Everton.
Wayne Rooney aliifungia Everton bao la kuongoza
Comments
Post a Comment