utafiti wasema viazi vya kukaangwa vinachangia maradhi ya kisukari kwa wanawake wajawazito Ulaji wa mara kwa mara wa viazi, bila kujali kama ni vya kuchemshwa au vya kukaangwa ama chips, unaweza kuongeza uwezekano wa mwanamke kuwa katika hatari ya kupata maradhi ya kisukari wakati wa ujauzito, wameeleza watafiti wa Marekani. Hii labda ni kwa sababu wanga uliomo katika viazi unaweza kusababisha kuongezeka kwa viwango vya sukari zaidi, wanasema. mwanamke mjamzitoHaki miliki ya pichaPA Image caption Wanawake wajawazito watakiwa kupunguza ulaji wa viazi vya kukaangwa(chips) kuepuka ugonjwa wa kisukari Utafiti wao ulihusisha wanawake wajawazito zaidi ya 21,000. Lakini watafiti wa Uingereza wanasema ushahidi huo una mapungufu na kuongeza kuwa watu wengi wanahitaji kula zaidi vya wanga ili kupata nyuzi nyuzi, pamoja na matunda na mboga Utafiti huo wa BMJ unahusu ulaji wa viazi hadi kiwango cha kuwa na uwezekano wa hatari ya kuugua kisukari. MbogaHaki miliki ya pichaAP Image caption Ulaji wa ...
Posts
Showing posts from October, 2017
- Get link
- X
- Other Apps
![Image](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiaWJFpGjMWG2ZkLlXn2e0RUZwpRspn9s2la6ux9ZklSWp6FDunVE_7bkfvAZ-dfjdu02xSd7eu1xACtHfyGMfx9R_6ufA04wO31cCR-XQIz-ML7twAXUG8krjeKFLID82Ftf_PDn07QpII/s320/FB_IMG_1490184771001.jpg)
Mwanaume 1 kati ya 3 wana matatizo ya nguvu za kiume – hii ni kulingana na utafiti uliofanyika. Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na mambo mengi ikiwemo ukosefu wa virutubisho muhimu mwilini. Ni jambo linaloweza kupata ufumbuzi kwa urahisi kama utazingatia kula vizuri na kufanya mazoezi. Ili kuongeza stamina kwenye mapenzi si lazima kutumia madawa makali kama viagra au vilevi vikali. Madawa na pombe hukupa nguvu zinazoisha kwa muda mfupi, lakini hukuletea madhara makubwa yatakayokuandama kwa muda mrefu zaidi. Ili kupata suluhishi la uhakika ni vizuri kuzingatia vyakula vinavyoweza kukuongezea stamina na kujenga mwili wako vizuri na kukupa uwezo wa kufanya mapenzi vizuri zaidi bila kutumia "booster". Vyakula ni suluhishi maridhawa na asilia kwenye kila kitu maishani mwako. Sababu za kukosa nguvu za kiume Ili kutatua tatizo ni muhimu kung’oa kabisa mzizi wake. Mwili wako una maarifa ya kujirekebisha pasipo kuhitaji vilevi au mawada, unachotakiwa kuzingatia ni chakul...
- Get link
- X
- Other Apps
![Image](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh489W9-2O_630_0ElmACccbkDo2TlUU69Q1ZzAyEEnGDPelgR4sQD8tgsw2p1awduhfAPNej4pQmtUizNuptPHf0wpxmAS-2_5PgE3ysIhBqIDZo28O1qToPFSLfWFfqZraJ2WSReCp3vO/s320/mkwawa.jpg)
Faham eneo alipozikwa Mkwawa eneo ambalo tarehe 4 Januari mwaka 1999 Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alizindua Mara wa Kumbukumbu ya miaka 100 ya kifo cha Mkwawa (1898-1998) Mkwawa alikuwa mtoto wa Mtemi Munyigumba mama yake Mkwawa aliitwa Sengimba kutoka uzao wa mtemi wa Ilole mjukuu wa Sekindole. Mkwawa aliamua Kalenga ikiwa kando ya Mto Ruaha kuwa Makao Makuu ya Himaya yake yakiwa na Makazi Rasmi na Kituo cha Kijeshi Kwa mujibu wa kamanda wa Kijerumani Ernst Nigmann (mwaka 1920 alikuwa na cheo Kanali) katika kitabu chake “Die Wahehe” Mkwawa alitawala kutoka Uhehe akisaidiwa na watawala aliowateua wakiitwa Vangazila wakiwa na mamlaka yote ya utawala huku wakimfahamisha Mtemi Mkwawa taarifa muhimu wakikusanya watu katika vita na shughuli za kijamii, vijana waliofunzwa kwa ajili ya vita waliitwa Vigendo, washauri wa mtemi masuala ya kiutawala waliitwa Vitambule, wapelelezi waliitwa Vatandisi, kikosi maalum cha kuwasaka maadui waliotoroka kiliitwa Vandagandaga, kikosi cha mapigano...
MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI
- Get link
- X
- Other Apps
Rais Magufuli afanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri, Juliana Shonza aula MABADILIKO YA BARAZA LA MAWAZIRI Mawaziri 21zineongezeka 2 Manaibzineongezeka 5 Utumishi - mkuchika Nishati - kalemani - mgalo Madini - mfuruki - nyongo Ujenzi - mbarawa - nditie na kwandikwa Fedha - mpango - kijaji Katiba - kabudi Habari - mwakyembe - shonza Ndani - nchemba - masauni Maliasili - kigwangala - kasunda Ardhi - lukuvi - mabula Kilimo - tizeba - mwanjelwa Mifugo/uvuvi - mpina - urega Nje - mahiga - kolimba Ulinzi - mwinyi Maji - kamwele - awoshio Viwanda/biashara - mwijage - manyanya Elimu - ndalichako - olenasha Afya - mwalimu - faustine Tamisemi - jafo - sekamba na kakunda MaZingira - makamba - lugola Vijana - mwamgama - mavunde na kipupa Katibu bunge - kagaigai Source TBC https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/23821127/