FAHAMU JINSI YA KUFUTA UJUMBE ULIOKOSEA KUTUMA WHATSAPP

Ili kuweza kufuta ujumbe ulioutuma kimakosa inabidi uwe una programu ya WhatsApp iliyoboreshwa (Updated) Baada ya kutuma ujumbe kimakosa, bonyeza na shikilia kwa muda (Press and hold) ujumbe huo, kisha nenda kwenye alama ya kufuta (delete) Utapata machaguo matatu. Chagua ‘delete for everyone’ Baada ya kufuta ujumbe huo mpokeaji, iwe ni binafsi ama kundi la WhatsApp atapata taarifa kuwa ujumbe uliotumwa umefutwa na hatoweza kuusoma (This Message was recalled). ## WhatsApp wameamua kuepusha ajali nyingi zisizo tarajiwa.

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA ZA VITAMIN C MWILINI

VYAKULA NA MATUNDA VINAVYOONGEZA NGUVU ZA KIUME

MATATIZO SUGU YA KOMPYUTA ,MBINU ZA KUONDOA TATIZO