Posts

Showing posts from August, 2017

IJUE COMPUETER

Know more about computer Ctrl+A - Select All Ctrl+B - Bold Ctrl+C - Copy Ctrl+D - Fill Down Ctrl+F - Find Ctrl+G - Goto Ctrl+H - Replace Ctrl+I - Italic Ctrl+K - Insert Hyperlink Ctrl+N - New Workbook Ctrl+O - Open Ctrl+P - Print Ctrl+R - Fill Right Ctrl+S - Save Ctrl+U - Underline Ctrl+V - Paste Ctrl W - Close Ctrl+X - Cut Ctrl+Y - Repeat Ctrl+Z - Undo F1 - Help F2 - Edit F3 - Paste Name F4 - Repeat last action F4 - While typing a formula, switch between absolute/relative refs F5 - Goto F6 - Next Pane F7 - Spell check F8 - Extend mode F9 - Recalculate all workbooks F10 - Activate Menubar F11 - New Chart F12 - Save As Ctrl+: - Insert Current Time Ctrl+; - Insert Current Date Ctrl+" - Copy Value from Cell Above Ctrl+’ - Copy Formula from Cell Above Shift - Hold down shift for additional functions in Excel’s menu Shift+F1 - What’s This? Shift+F2 - Edit cell comment Shift+F3 - Paste function into formula Shift+F4 - Find Next Shift+F5 - Find Shift+F6 - Previous Pane Shift+F8 - Ad...
Image
"Ni kweli Kushinda ni furaha lakini sio hoja. Hoja ni Kuwa na nia ya kushinda, Kutokata tamaa, Kutokubali kushindwa pamoja na kuacha kutosheka na mafanikio uliyonayo" George Lwandamina
Yanga yaitungua Singida United 3-2 5th August 2017 Licha ya kutawala mchezo kwa sehemu kubwa, Singida United imeangukia pua baada ya kuchapwa mabao 3-2 na Yanga kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye dimba la Taifa. Singida United iliuanza mchezo huo kwa kasi na kufanikiwa kupata mkwaju wa penati kwenye dakika ya kwanza tu. Hata hivyo walikosa penati hiyo. Thabani Kamusoko akaifungia Yanga kwenye dakika ya tano kwa mpira wa adhabu baada ya Ibrahim Ajib kufanyiwa madhambi nje kidogo ya 18. Singida United ilisawazisha dakika tatu baadae kupitia kwa Usengimana. United iliyokuwa 'On Fire' ikafunga bao la pili kwnye dakika ya 23 kupitia kwa Simbarashehe aliyevunja mtego wa kuotea. Lwandamina alibadili kikosi chake chote kwenye kipindi cha pili na Yanga kufanikiwa kusawazisha kwenye dakika ya 83 kupitia mkwaju wa penati wa Amissi Tambwe. Emanuel Martini akaifungia Yanga bao ta tatu kwenye dakika za majeruhi. Matokeo hayo yaliibua nderemo kwa mashabiki wa Yanga huku wal...

MSUVA NA FARID MUSSA WATISHA

Msuva na Farid Mussa si wa mchezo mchezo 3rd August 2017 Mshambuliaji wa Kitanzania,Simon Msuva wa Difaa El-Jadida na Farid Mussa wa CD Tenerifa wameziongoza timu zao kupata sare katika michezo ya kirafiki iliyochezwa usiku wa kuamkia leo. Katika michezo hiyo ilishudia Difaa El-Jadida ikilazimisha sare 1-1 naYoussoufia Berrechid nchini Morocco wakati Hispania CD Tenerifa ilipata sare 2-2 na Las Palmas. Msuva akicheza mechi yake ya pili tangu alipotua Morocco alisababisha penalti iliyoanza bao la El Jadida kabla ya Youssoufia Berrechid kusawazisha. Mshambuliaji huyo wa zamani wa Yanga akizungumza baada ya mechi hiyo alisema ni jambo la furaha kwake kuzoea mazingira ya timu hiyo haraka tofauti na ilivyotegemewa. "Wananishangaa maana nimezoea haraka mazingira, mpaka sasa hakuna wakati mgumu ninao upata kutokana na mazingira yao namna yalivyo. "Huwa nafurahia sana, wanavyopenda kuwa karibu na mimi nadhani hawataki kuniona nikiwa mpweke," alisema Msuva. Naye winga wa...

FAIDA ZA VITAMIN C MWILINI

*Zijue faida za kula vyakula vyenye vitamin C.* Kuna aina nyingi za vitamini na zote zina kazi mbalimbali katika miili yetu. Kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwepo kwa vitamini nyingine nyingi ambazo bado hatujazivumbua lakini ni muhimu kwa afya zetu. Tutaendele kuzitafuta kadri tutakavyo wezeshwa. Kabla ya kukufahamisha vyakula vitupatiavyo vitaminC ni vyema nikakujulisha angalau faida chache tuzipatazo kwa kuwa na vitamini C mwilini. Vitamini C husaidia mwili kutumia madini ya(Kalsiamu) chokaa na virutubisho vingine kujenga mifupa na mishipa ya damu. Bila ya kuwepo vitamini C inakuwa vigumu kwa mwili kutengeneza mifupa na mirija ya damu. Hii huwathiri sana watoto wadogo na hata walio matumboni (mimba) ambao hasa mifupa yao bado inakuwa. Uimara wa meno pia hupungua kwa kukosekana calcimu inayotumika kwa msaada wa vitamini C. Vilevile vitamini C husaidia mwili kufyonza madini ya chuma kutoka kwenye vyakula. Kuna vyakula vingine ambavyo vina madini ya chuma ambayo bila msaada wa...