Posts

Showing posts from July, 2017

MSUVA AITAJIRISHA YANGA

MSUVA AIPA MAMILIONI YANGA SC Saimoni Msuva avunja rekodi ya uhamisho kwa wachezaji wazawa kwenda nje . Rekodi ya awali ni dola 100,000 iliyoweka na Mbwana Samata toka Simba SC kwenda TP Mazembe. Msuva ametoka Yanga kwenda El Jadida kwa dola 160,000/- ni rekodi mpya kwa wazawa. Kwa wageni bado Emanuel Okwi ndio mchezaji aghali zaidi baada ya Simba SC kumuuza Etol du Sahel kwa dola 300,000/- Hii ina maana Yanga imevuna milioni 336,000,000 kwa kumuuz winga huyo 😋 CC: soka360
Image
Method Mwanjali beki wa Simba SC akanidhiwa kitambaa cha unahodha mkuu wa Simba SC akisaidiwa na Mohamedi Hussein ' Zimbwe jr ' . Hii ina maana rasmi Jonasi Mkude amevuliwa kitambaa hicho na atabaki chini ya uongozi huo mpya . Kwa zaidi misimu mitatu Jonasi Mkude alikuwa nahodha wa klabu hiyo . Bado hazijaelezwa kwa kina sababu za mabadiliko hayo ingawa taarifa za awali zinasema ni mabadiliko ya kawaida.
Image
LIFE GOES

MATATIZO YA COMPYUTA NA SULUHISHO LAKE PART 2

Image
Karibu tena kwenye Ukurasa wetu huu ambapo tunaendelea kueleza matatizo yanayozikumba Kompyuta mbalimbali pamoja na suluhisho/mbinu za kuweza kutatua tatizo hilo. Tufuatane pamoja kutambua matatizo hayo ili tuwe na uelewa Zaidi. 1.KIOO KILICHOVUNJIKA/BROKEN SCREEN/DISPLAY. Hapa tunaangalia Kioo pale ambapo kinakutana na hitilafu/kuvunjika kutokana na sababu mbalimbali, kwa leo tutazungumzia SABABU ambazo tumekuwa tukikumbana nazo na kwa jinsi gani ya ukiziepuka ili kutunza kioo cha Kompyuta yako. Kuweka Kompyuta/laptop kwenye begi pamoja na vitu vingine kama vitabu, madaftari au vitu vingine vigumu ambavyo vinaweza kuwa kisababishi kikubwa cha kuvunjika kioo. (ii) Kukalia begi/mfuko ambao umebeba Kompyuta/laptop yako, hapa utakuta mtu anakalia hilo begi bila kujua kitendo ambacho hupelekea kuvunjika kwa kioo. (iii) Pia kuna tabia ambapo unakuta mtu amepanda daladala hasa wanafunzi na kukuta gari imejaa na kusimama ndipo huchukua begi yake iliyobeba laptop/Kompyuta na kuweka k...

MATATIZO SUGU YA KOMPYUTA ,MBINU ZA KUONDOA TATIZO

Ni siku nyingine ambapo tunakutana kwenye Ukurasa huu, hili tupate kujifunza yale matatizo yanayoikumba Kompyuta yako pamoja na mbinu au suluhisho la tatizo hilo. Kwa leo tutazungumzia tatizo liflifuatal                 1. KOMPYUTA KUWA NZITO. (COMPUTER TO WORK SLOWLY/STUCKING). Hili limekuwa tatizo ambalo husababisha utendaji wa kazi wa Kompyuta yako kuwa mdogo au kuwa nzito sana na hata kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi. Yafuatayo ni mataizo/sababu kuu Duniani ambazo mpaka sasa yanafanya Kompyuta nyingi kuwa nzito(SLOWLY). (i) VIRUSI(VIRUSES) Virus ni “software” ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya kuharibu “software” nyingine ambazo zinakuwa kwenye mfumo wa utendaji wa Kompyuta. Yafuatayo ni madhara yasababishwayo na Virusi kwenye Kompyuta. (a) Kupotea kwa files/ taarifa kwenye Kompyuta., hapa kirusi kikishaingilia file kina uwezo wa kulifuta, kuficha, kutafuna au kuliondoa kabisa kwenye Kompyuta. (b) Kuharibu mfumo wa Utendaji wa Ko...

VYUO VIKUU VYAFUNGIWA NA TCU

*BREAKING NEWS* *TCU IMEVIFUNGIA VYUO VIKUU 19 KUDAHILI WANAFUNZI MWAKA HUU WA MASOMO 2017/2018* *VIPO VYUO MAARUFU KAMA KCMC,ST.JOSEPH -MBEZI,TUMAINI UNIVERSITY,MARIAN,TEKU,KAMPALA NA ST.JOHN UNIVERSITY* *PIA IMEFUNGIA KOZ ZIPATAZO 75 KUDAHILIWA KATIKA BAADHI YA VYUO VILIVYOBAKI* *SOMA ZAIDI HAPO>>>>>>>>* http://www.cloudsmedia.ml/2017/07/tculist-of-universities-that-have-been.html *_Tafadhali watumie wenzako wote taarifa hizi muhimu_* * OG TUNAKUPENDA NA KUKUJALI SANA*

VYUO VIKUU TANZANIA

Wazazi walezi mnakumbushwa kuwa TCU sasa hivi haipokei maombi ya kujiunga na vyuo vikuu. Hivyo basi imetoa maelekezo kuwa sasa hivi unaomba moja kwa. Moja kwenye chuo husika unachotaka. . Na hii ni Orodha ya vyuo vikuu Tanzania na tovuti zake 1. Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM) ………….. https://www.udsm.ac.tz 2. Chuo Kikuu huria cha Tanzania (OUT) ………….. https://www.out.ac.tz 3. Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ………. https://www.udom.ac.tz 4. Chuo kikuu cha Mzumbe (MU) ………… www.mzumbe.ac.tz 5. Chuo Kikuu cha kilimo Cha Sokoine (SUA) ………… www.suanet.ac.tz 6. Chuo kikuu cha sayansi ya tiba Muhimbili (MUHAS) ……. www.muhas.ac.tz 7. Chuo kikuu cha Tumaini Makumira (TUMA) ……… www.makumira.ac.tz 8. Chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) ……… https://saut.ac.tz 9. Chuo kikuu cha ardhi (ARU) …….. www.aru.ac.tz 10. Chuo kikuu cha Mtakatifu Yohane (SJUT) ……… www.sjut.ac.tz 11. Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia...

AMANI TANZANIA ..UMOJA

Image

MAGAZETINI LEO

Image
Ni asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo July 24  2017  kuanzia ya Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa.

Samatta Ajibu mapigo ya Rooney

Image
Samatta aibeba Genk ikitoka sare na Everton 22nd July 2017 Mbwana Samatta ameibeba KRC Genk kwa kuifungia bao la kusawazisha latika mchezo wa kirafiki dhidi ya Everton uliomalizika kwa sare ya bao 1-1. Samatta alifunga bao hilo kwenye dakika ya 55 akitumia uzembe wa walinzi wa Everton. Wayne Rooney aliifungia Everton bao la kuongoza

KANUNI KUMI ZA UTUNZAJI SIMU ILI IDUMU

Kamwe usitumie simu iwapo kwenye chaji system kwa sababu unasababisha simu ife mapema kutokana na umeme unaoingia na kani ya matumizi unayotumia ..hupelekea simu kuwa na moto sana Usizidishe zaidi magemu kwenye simu yako ikiwezekana achana na magemu kabisa kwa sababu internal uses inaongezeka otherwise RAM yako iwe na ukubwa kuanzia 2GB na kuendelea au acha game moja uwe na wakati maalumu wa kulicheza Usichaji simu zaidi ya 100% simu ikifika asilimia mia itoe kwa sababu unapelekea kuua betri OVERCHARGING Fanyia covering ya simu yako ili kuweza kuwa rafiki na mazingira endapo itadondoka isathiriwe sana Weka antivirus kwenye simu yako ili virus wasiingie kuharibu simu yako ...mfano virus cleaner na avast Usiweke application/faili nyingi kwenye simu kupita uwezo wa simu husikA utasababisha simu istack mda mwingi pia ishindwe kufanya kazi yake kiufasaha ...internal memory ianzie 8GB na kuendelea for anroid na nyingnezo Weka kitu kinaitwa Du speed booster kinapatikana kwenye...

Msuva Aaga mashabiki

Msuva amewashukuru mashabiki Yanga 20th July 2017 Mfungaji bora wa msimu uliopita Simon Msuva, amewaaga mashabiki na wanachama wa Yanga, baada ya mipango ya kujiunga na timu ya Difaa Hassani El Jadida ya Morocco kukamilika. Msuva amesema anashuru sapoti kubwa na malezi bora kutoka kwa mashabiki hao hivyo wakati umefika kwa yeye kwenda kutafuta maisha sehemu nyingine. “Nawashukuru sana kwa sapoti yao tangu nimetua Yanga nikiwa kijana mdogo hadi leo nimepata mafanikio makubwa kwa sapoti yao naomba wasinichukie kwani haya ni maisha nakwenda kujaribu huko ikishindikana nitarudi Yanga,”amesema Msuva. Kiungo huyo mshambuliaji ambaye kwasasa yupo kwenye kambi ya timu ya taifa inayojiandaa kucheza mechi ya marudiano dhidi ya Rwanda, amesema akiwa Morocco, atamisi mambo mengi ikiwemo ushindani wa Simba na Yanga. Amesema pamoja kuwa anaondoka lakini anakiamini kikosi kilichopo kitafanya kazi vizuri na kuendelea kulinda heshima ya Yanga ambayo inafahamika Tanzania na Afrika kutokana na ubo...

BADO KAMUSOKO TU

Yanga imeanza kujifua wiki iliyopita ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa VPL pamoja na mchezo wa Ngao ya Jamii Agosti 23 dhidi ya Simba. Jumla ya wachezaji 16 wako kikosini wakiendelea na mazoezi. Lakini bado kiungo fundi Thabani Kamusoko hajarejea kutoka Zimbwabwe. Mkataba wa kiungo huyo umemalizika na tayari uongozi umeshamalizana nae juu ya kusaini mkataba mpya. Imeelezwa wakati wowote atatua jijini Dar es salaam kusaini mkataba mpya. Wachezaji ambao wako kambini wakiendelea na mazoezi ni wapya wanne; kipa Mcameroon, Youthe Rostand aliyesajiliwa kutoka African Lyon, beki Abdallah Hajji ‘Ninja’ kutoka Taifa Jang’ombe, kiungo Pius Buswita kutoka Mbao FC na mshambuliaji Ibrahim Ajib kutoka kwa mahasimu, Simba SC. Wengine ni mabeki, Nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Juma Abdul, Pato Ngonyani, Mwinyi Hajji Mngwali, Andrew Vincent ‘Dante’. Viungo Geoffrey Mwashiuya, Juma Mahadhi, Said Juma Makapu, Emmanuel Martin, Yussuf Mhilu, Obrey Chirwa na mshambuliaji Amissi Tambwe. Pia wamo...
FT' Taifa Stars 1 Amavubi 1 marudiano juma lijalo jijini Kigali Rwanda. Goli la Taifa Stars lilifungwa na Himidi Mao kwa mkwaju wa penati. Hii ni kuwania kufuzu CHAN 
Taifa Stars 'shughulini' na Amavubi, Mwanza 15 Jul 2017, 09:42 am |   By Amosi Aloyce SOKA Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, leo inashuka dimbani katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuwakabili Amavubi (Timu ya taifa ya Rwanda) katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya CHAN. Tayari kikosi cha Stars kipo jijini humo tangu Jumatano wiki hii kikijiandaa kwa mchezo huo, ambapo kocha mkuu Salum Mayanga amewakikishia watanzania kuwa wachezaji wote wapo fiti kwa ajili ya ushindi kwenye mchezo wa leo. Kikosi cha leo kitamkosa beki Abdi Banda ambaye amepata dili ya kukipiga nchini Afrika Kusini. Kwa upande wa Rwanda, Kocha wake Mjerumani Antoine Hey amepeleka lawama zake kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kuupeleka mchezo huo Jijini Mwanza badala ya Dar es Salaam hali ambayo imewasabishia usumbufu mkubwa katika usafiri. Pia kocha huyo ameeleza kushangazwa na kitendo cha uwanja huo wa Kirumba kufanyiwa ukarabati katika siku ambayo kikosi chake kil...
Image
MATOKEO YA MITIHANI - Examination Results Baraza La Mitihani La Tanzania - The National Examination Council Of Tanzania - All The Examination Results & Educational Resources For Free Downloads. MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2017 - NECTA Tanzania - Form Six Results (ACSEE) 2017 Updates MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2017, MATOKEO YA A LEVEL 2017. MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2017 MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2017/2018 NECTA >>>FORM SIX (ACSEE) RESULTS 2017>>MATOKEO YA FORM SIX 2017/2018   who is the 2017 richest man in the world?   HOW DO TOP STUDENTS STUDY?    Pata Matokeo  Yote Ya Mitihani  - One Spot For All The Examination Results -  New Updates (Kidato cha sita, Kidato cha Nne, Kidato cha Pili, Darasa la sa...